Mwasongwec
Member
- Oct 15, 2007
- 5
- 0
Hata Makamba kakaa kimya, maturity!:hand:
I love CDM!!
I love JF!
we! Makamba hajakaa kmya ila cku hz ana wasemaj wake. Sophia, Jk, Wasira, Tendwa, Chiligati.
ukweli unabaki palepale mkuuu!u r not CDM??Mmh I can't hold this...!!
we! Makamba hajakaa kmya ila cku hz ana wasemaj wake. Sophia, Jk, Wasira, Tendwa, Chiligati.
Hata Makamba kakaa kimya, maturity!:hand:
we! Makamba hajakaa kmya ila cku hz ana wasemaj wake. Sophia, Jk, Wasira, Tendwa, Chiligati.
mkuu ndio faida za kuwa na gud strategist kwenye chama.. sio wale wa kijani chama kinaendeshwa kwa propaganda za kijinga. kuanzia katibu mbumbumbu hadi wabunge wake(hapa sio wote kuna wengine wako makini sana)
watamkumbuka sana mangula hawa watu at least he had vision, sijui yuko wapi huyu mzee
cdm imepangwa ikapangika mwalimu kabla ya kufa aliliona hilo ndio maana aliwaambia kule mbeya kuwa siku moja cdm itachukua dola ya nchi hii