Mkuu ni kwamba kuna sites ambazo zinaitwa torrent sites, kwa hiyo unaweza kwenda kwenye hizo sites na ukatafuta hiyo invoice by click ambayo imeshachakachuliwa na ukatumia bila kikomo. We cha kufanya google torrent sites itakuletea site nyingi tu na ujaribu kutafutahumo na kabla hujaanza unatakiwa kutafuta program itakayokuwezesha kudownload hilo file kwa mfano, Tixati, Free Download Manager, utorrent nk. Au kama ukiona ni shida, nenda kwenye google search kisha andika invoice by click 94fbr utapata hiyo kitu iliyochakachuliwa.