TECNO Tanzania Senior Member Joined Jul 6, 2016 Posts 192 Reaction score 217 Aug 12, 2021 #1 Mambo vipi? Tungependa kujua unatumia vipi simu yako ya kiganjani ili kukuletea kipato kwa njia ya mtandao?
Mambo vipi? Tungependa kujua unatumia vipi simu yako ya kiganjani ili kukuletea kipato kwa njia ya mtandao?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Aug 12, 2021 #2 TECNO Tanzania said: Mambo vipi? Tungependa kujua unatumia vipi simu yako ya kiganjani ili kukuletea kipato kwa njia ya mtandao? Click to expand... Huwa naitumia kulipia TOZO tu dadeeki, utadhani kuwa na simu Tz imekua laana. Jamaa wanakata hawana huruma kabisa
TECNO Tanzania said: Mambo vipi? Tungependa kujua unatumia vipi simu yako ya kiganjani ili kukuletea kipato kwa njia ya mtandao? Click to expand... Huwa naitumia kulipia TOZO tu dadeeki, utadhani kuwa na simu Tz imekua laana. Jamaa wanakata hawana huruma kabisa
Kibwengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 7,031 Reaction score 5,576 Aug 12, 2021 #3 Kutafuta mademu badoo na tinder
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,855 Reaction score 61,913 Aug 12, 2021 #4 kuingia exotictz dot com na kugonga totoz tamu za uko una lengine ?