Ni vizur mama mja mzito kuchukua tahadhar kwa kutumia vitu mbalmbal vya asili vinavyoongeza damu kama vile zambarau,zabibu,matembele,mchuz wa maharage,mchicha,rozela na vngnevyo ili kua ktk safe side during delivery,inashauriwa mama mjamzito had kujifungua iwe 14-16, so yte haya yakishindikana ndo aanze vidonge na hemovt