M mzambia JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 887 Reaction score 63 Jan 1, 2011 #1 Ra, el, nimrod, chenge wafikishwe mahakani kwa kuliingizia taifa hasara ktk richmond, radar na dowans mwaka huu 2011
Ra, el, nimrod, chenge wafikishwe mahakani kwa kuliingizia taifa hasara ktk richmond, radar na dowans mwaka huu 2011
M mzambia JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 887 Reaction score 63 Jan 1, 2011 Thread starter #2 Na kama ikiwezekana kina tanil somaiya, subhash, vithlan wachunguzwe kwa umakini uhalali wao kuwepo tz ka raia au wawekezaji? Na wasiwe na pasi mbili za kusafiria
Na kama ikiwezekana kina tanil somaiya, subhash, vithlan wachunguzwe kwa umakini uhalali wao kuwepo tz ka raia au wawekezaji? Na wasiwe na pasi mbili za kusafiria