Umetumia kigezo gani kuona imani zingine ni POTOFU na imani zingine ni SAHIHI?Unachotaka kufanya wewe ni kuondoa uhuru wa imani au kuamini ambao ni haki iliyo kisheria, imani potofu zinapingwa na watu wanaelimishwa hivyo usitake kuondoa uhuru wa imani kisa kuna baadhi ya imani ni potofu dawa ni kuelimisha watu sio kuwafanya kuwa atheists hiyo haitosaidia kutokuwa na imani potofu au kutotenda uhalifu.
Kila siku tunasikia matukio ya kinyama watu hufanya kwa sababu za kisiasa au unakuta kisa ni wivu tu wa mapenzi, watu wanaacha kufanya kazi na kukesha kubeti n.k hivyo mtu anaweza kufanya lolote kwa kutumia lolote.
Kuna mwanakijiji kanipa story Kuna wamama wachawi wanakuja nyumbani kunichezea Hadi wanazishika pumbu ila sijawashuhudia mmLooooh. Tumia subconscious mind
Labda nikuulize, hoja yako ya msingi ni ipi hapa katika haya majadiliano?Umetumia kigezo gani kuona imani zingine ni POTOFU na imani zingine ni SAHIHI?
Imani ni Imani..... usiweke double standard mkuu
Kwa muktadha wa hoja yako ni kwamba kumzuia mmasai asiuwe mtoto wake kilema ni kumuingilia uhuru wake wa kuamini?
IMANI za Mungu, shetani, malaika uchawi nk ni HADITHI za kusadikikaLabda nikuulize, hoja yako ya msingi ni ipi hapa katika haya majadiliano?
Upotofu si kwa imani bali hata wewe unaweza ukawa na mitazamo potofu.IMANI za Mungu, shetani, malaika uchawi nk ni HADITHI za kusadikika
Hazina UTHIBITISHO wowote ule wa uwepo wake
Na ndio maana unaona IMANI za wengine ni POTOFU ila zako ndio SAHIHI
Na wenzako wanaona imani yako potofu zao ndio sahihi
Mkuu kuzunguka kote huku ni kwsababu tu HUWEZI kuthibitisha hadithi za kusadikika...... PeriodUpotofu si kwa imani bali hata wewe unaweza ukawa na mitazamo potofu.
Hata agnostic anaona mtazamo wake ni sahihi na mtazamo wa atheist kudai hakuna Mungu sio sahihi.
Ni uelewa wako mdogo tu kuhusu uthibitisho, ngoja nikupe mfano, kabla sayansi haijathibitisha faida za kiafya kwa kufanya mazoezi ya yoga na meditation watu walikuwa wakifaidika na hayo mazoezi walifanya na wakajithibitishia kwa hizo faida toka karne hizo ambako hakukuwa na uthibitisho wa kisayansi.Mkuu kuzunguka kote huku ni kwsababu tu HUWEZI kuthibitisha hadithi za kusadikika...... Period
Dunia ya sasa haitaki blah blah........ THIBITISHA
Huwezi basi baki na hekaya zako
Kwahiyo kwa uelewa wako mkubwa hapo ndio umethibitisha uchawi upo?Ni uelewa wako mdogo tu kuhusu uthibitisho, ngoja nikupe mfano, kabla sayansi haijathibitisha faida za kiafya kwa kufanya mazoezi ya yoga na meditation watu walikuwa wakifaidika na hayo mazoezi walifanya na wakajithibitishia kwa hizo faida toka karne hizo ambako hakukuwa na uthibitisho wa kisayansi.
Na hivyo ndio dunia ilivyo.
Neno "thibitisha" linatumika kama vile kasuku anavyorudia kutamka neno ambalo hajui maana yake, wewe hapo sijui hata kama unajua huo uthibitisho wa uchawi unatakiwa uwe vp hadi uukubali kuwa huu kweli ni uthibitisho wa uchawi.Kwahiyo kwa uelewa wako mkubwa hapo ndio umethibitisha uchawi upo?
Kwahiyo hizi blah blah zako za kupinga uthibitisho ndio uthibitisho wenyewe kwamba uchawi upo mkuuNeno "thibitisha" linatumika kama vile kasuku anavyorudia kutamka neno ambalo hajui maana yake, wewe hapo sijui hata kama unajua huo uthibitisho wa uchawi unatakiwa uwe vp hadi uukubali kuwa huu kweli ni uthibitisho wa uchawi.
Wengi hata hamuelewi kati ya kuwepo kitu na kutokuwepo uthibitisho wa hicho kitu, hata hamuelewi uthibitisho una nafasi gani huwa mnafikiri uthibitisho ndio hufanya jambo kuwepo na kutokuwepo kwa uthibitisho basi hilo jambo halipo kabisa.
Kwa kwa umetaka na wewe kujua kama uchawi upo basi nianze kwa kukuuliza hivi wewe unaelewa uchawi ni nini na kwanini unasema hakuna huo uchawi?Kwahiyo hizi blah blah zako za kupinga uthibitisho ndio uthibitisho wenyewe kwamba uchawi upo mkuu
Iwapo utadai kuna kitu fulani kipo maana yake ni kwamba una UTHIBITISHO kipo ndio maana ukasema kipo
Uzuri ni kwamba wala hujabanwa namna unayo ona wewe ina faa kuthibitisha..... wewe thibitisha kwa namna unayoona ina faa hata usipotumia neno thibitisha
So kwakuwa neno uthibitisho linakupa tabu basi fanya namna yoyote unayoijua ili na sisi wengine tujue uchawi upo mkuu