Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Jun 22, 2015 #21 Ccm iliasisiwa na wakulima na wafanyakazi ila kwa sasa chama kimeporwa na vibaka na wala rushwa!! Vifaa vya kilimo vinauzwa kwa dola ya mmarekani babu yangu pale ngosero anaijua dola kweli.....
Ccm iliasisiwa na wakulima na wafanyakazi ila kwa sasa chama kimeporwa na vibaka na wala rushwa!! Vifaa vya kilimo vinauzwa kwa dola ya mmarekani babu yangu pale ngosero anaijua dola kweli.....
M mulaga JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 3,153 Reaction score 2,911 Nov 3, 2019 #22 Vipi mkopo wa matreka bado upo.VIP ni John deer za assembled USA au India