Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,714
- 93,773
Kwani ujasikia kuna msiba umegharimu shilling millioni 70!!??majaribu gani tena
MMU siyo kwa ajili ya mapenzi tu....sijaelewa.....mbona.....?
Kwani ujasikia kuna msiba umegharimu shilling millioni 70!!??
Nadhani sijaeleweka vyema, kuna msiba msiba wa msanii anayesemekana alikuwa maarufu kamati ya mazishi wanasema wametumia shilling millioni 70 kwa ajili ya mazishi!!......hapo ndipo msingi wa thread yangu ulipo kwamba Mungu aniepushe na usanii wa namna hii.Mara mllioni 60 mara millioni 70,
anyway kufa kufaana chomoa million 20 weka kwenye ac yako,hizo zilizobakia tumia kwa ajili ya msiba unataka Mungu akupe nini tena?
Hapana mrembo,.....nitayashinda majaribu yote na kuhakikisha naanda show nzuri ya kumuaga huyu mrembo, nadhani sherehe itakuwa nzuri tu.MMMH unataka kula hela ya rambirambi matola?
Yashinde majaribu
majaribu gani tena
Wajameni nina msiba mzito ila sintokuwa wazi kuficha uhalisia, maana JF inatembelewa na wengi.
Kutokana na ukaribu na mtarajiwa wa huyu binti aliyefariki akiwa bado mbichi kabisa na kwakuwa Matola ni mtu ninaheshimika na kukubalika kiasi chake kwenye jamii inayonizunguka mimi ndiye nimekabidhiwa majukumu ya kuwa mratibu mkuu wa show hii ya burial Ceremony.
Sasa basi baada ya kupata ripoti ya mapato na matumizi ya ule msiba uliogharimu shillingi millioni 60, nimejihisi kama nataka kuharibiwa Credibility yangu, nililikataa hili jukumu lakini nimeshinikizwa kwamba there is no excuse, bado nina kumbu kumbu nzuri ya kina Mtitu walivyochakachuwa rambirambi ndio sababu namuomba mungu aniepushe na tamaa hii, maana mwitikio wa michango ni wa hali ya juu na washirika wanachangia kwa hali na mali. Pls Help me God.
R.I.P my in law.
Acha kupenda sofa za kingese.Mimi naamini wewe ni Mwalimu 100%.
Ushawahi kubakwa na Mwalimu?