C craq JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 859 Reaction score 1,866 Nov 26, 2017 #1 Yanga 1-1 lipuli Simba 1-1 lipuli Binafsi nimependezwa na mwalimu huyu yupo professional zaidi tofauti na minziro na Julio ambao wanajulikuna
Yanga 1-1 lipuli Simba 1-1 lipuli Binafsi nimependezwa na mwalimu huyu yupo professional zaidi tofauti na minziro na Julio ambao wanajulikuna
kayeke JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,601 Reaction score 1,753 Nov 26, 2017 #2 Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!!
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,426 Reaction score 24,148 Nov 26, 2017 #3 simba kapakatwa
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,046 Nov 26, 2017 #4 kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... Wawahi FIFA kupata za mezani. Teh teh teh
kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... Wawahi FIFA kupata za mezani. Teh teh teh
Abuu Said JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 4,009 Reaction score 4,769 Nov 26, 2017 #5 Heshima kwako Matola
DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,496 Reaction score 5,099 Nov 26, 2017 #6 kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... tff fc hahaha
kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... tff fc hahaha
DBA JF-Expert Member Joined Jul 19, 2012 Posts 218 Reaction score 93 Nov 26, 2017 #7 Matola the BIG Fish in town
L laitani Member Joined Oct 31, 2017 Posts 27 Reaction score 16 Nov 26, 2017 #8 Wanapaluhengo oyoooo!
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,257 Nov 26, 2017 #9 kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... Mmeanza tena.... Haaah. Haaah. Haaah.
kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... Mmeanza tena.... Haaah. Haaah. Haaah.
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,983 Reaction score 11,795 Nov 26, 2017 #10 kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... Mikia mnatia kichefuchefu sasa.
kayeke said: Kuna mchezaji wa lipuli alikuwa na kadi 3 za njano!!!!! Click to expand... Mikia mnatia kichefuchefu sasa.
B Baba Kiki JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,544 Reaction score 943 Nov 27, 2017 #11 Ukweli usemwe Simba huwa inaumizwa zaidi na watu wanaohusiana zaidi kuliko timu nyingine yoyote hapa nchini. Nadhani falsafa ya Simba ni urafiki nyumbani, uwanjani kazi. True professionalism
Ukweli usemwe Simba huwa inaumizwa zaidi na watu wanaohusiana zaidi kuliko timu nyingine yoyote hapa nchini. Nadhani falsafa ya Simba ni urafiki nyumbani, uwanjani kazi. True professionalism
Mr Mikazo JF-Expert Member Joined May 26, 2016 Posts 1,595 Reaction score 806 Nov 27, 2017 #12 Mr.Junior said: Mikia mnatia kichefuchefu sasa. Click to expand... nyie mnatia ki appetite
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,300 Reaction score 31,965 Nov 27, 2017 #13 Mr.Junior said: Mikia mnatia kichefuchefu sasa. Click to expand... Mkuu huyo jamaa nilivyomuelewa mimi anawadhiki hao ndugu zetu wa Msimbazi a.k.a Mbumbumbu FC.
Mr.Junior said: Mikia mnatia kichefuchefu sasa. Click to expand... Mkuu huyo jamaa nilivyomuelewa mimi anawadhiki hao ndugu zetu wa Msimbazi a.k.a Mbumbumbu FC.
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,396 Reaction score 18,203 Nov 27, 2017 #14 Simba Sports Club, msajirini Asante Kwasi kwenye hili dilisha dogo achukue nafasi ya beki Mwanjali ambaye inaonekana Umri unamsumbua.
Simba Sports Club, msajirini Asante Kwasi kwenye hili dilisha dogo achukue nafasi ya beki Mwanjali ambaye inaonekana Umri unamsumbua.