Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,432
Umepitia hiyo link ukasoma kilichomo ndani?Unaona umewaaaahiiiii mwenyewe kutuletea,
Yaani siku moja kabla ndio unaleta wakati watu wanayo toka last week??
Ulichunguza kwanza kama kuna uzi wa aina hii before post here??
Unaona umewaaaahiiiii mwenyewe kutuletea,
Yaani siku moja kabla ndio unaleta wakati watu wanayo toka last week??
Ulichunguza kwanza kama kuna uzi wa aina hii before post here??
Angeenda tu kwenye Uzi husika akawakumbushia tu kule kule mkuuSio mbaya akiwakumbusha wengine sio kama wewe kama kuna mtu alisahau namba yake ya mtihani katika huo huo usaili wa tra kashindwa kujiona kama anatakiwa kuendelea usaili wa oral kwa nn wasikumbushwe?
Siku nyingine kabla ya kubisha jitahidi kusoma kilichomo ndani...Angeenda tu kwenye Uzi husika akawakumbushia tu kule kule mkuu
Aisee....huko shule ulienda kusomea nini?? Umechemka bila logic mkuuAngeenda tu kwenye Uzi husika akawakumbushia tu kule kule mkuu
Hapana mtoa mada yuko sahihi kabisa...hii ni interview ya pili ..post hiyo ilikuwa na practical..soma tangazo utaona...! Wana Jf wengi ni wavivu wa kusoma wanacho jua ni kucomment tuuSio mbaya akiwakumbusha wengine sio kama wewe kama kuna mtu alisahau namba yake ya mtihani katika huo huo usaili wa tra kashindwa kujiona kama anatakiwa kuendelea usaili wa oral kwa nn wasikumbushwe?
week mbili baada ya oralMajibu ya Oral ni lini...??