Distinction JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 747 Reaction score 399 Nov 3, 2014 #21 FAIRATTORNEY said: Mtoa mada bangi ni mbaya sana kijana wangi. Click to expand... Kavuta ushuz wa punda mana nao ni hatar sana.
FAIRATTORNEY said: Mtoa mada bangi ni mbaya sana kijana wangi. Click to expand... Kavuta ushuz wa punda mana nao ni hatar sana.
F FAIRATTORNEY JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 219 Reaction score 61 Nov 3, 2014 #22 kagayo said: hiyo ni taarifa kutoka Nairobi,Kenya na sio TZ Source Mwananchi la Leo... Click to expand... Uko right sana mkuu, Kenya ndio walitoa ajira za polisi elfu kumi, zoezi likatawaliwa na rushwa linarudiwa. Sasa huyu mtoa thread sijui ana matatizo ndani ya fuvu, lini serikali ya Tz iliajiri polisi elfu kumi kwa wakati mmoja.
kagayo said: hiyo ni taarifa kutoka Nairobi,Kenya na sio TZ Source Mwananchi la Leo... Click to expand... Uko right sana mkuu, Kenya ndio walitoa ajira za polisi elfu kumi, zoezi likatawaliwa na rushwa linarudiwa. Sasa huyu mtoa thread sijui ana matatizo ndani ya fuvu, lini serikali ya Tz iliajiri polisi elfu kumi kwa wakati mmoja.
fixit KEM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 64 Nov 3, 2014 #23 elfu 10 c kweli maana form 6 walikua 608 na form 4 walikua 5411..... labda hesabu za memkwa ndio itakuja elf10
elfu 10 c kweli maana form 6 walikua 608 na form 4 walikua 5411..... labda hesabu za memkwa ndio itakuja elf10
Distinction JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 747 Reaction score 399 Nov 3, 2014 #24 fixit KEM said: elfu 10 c kweli maana form 6 walikua 608 na form 4 walikua 5411..... labda hesabu za memkwa ndio itakuja elf10 Click to expand... Ahsante sana mkuu! nlitaka nishangae! tatizo kila mtu anataka kujfanya mwandish wa habar
fixit KEM said: elfu 10 c kweli maana form 6 walikua 608 na form 4 walikua 5411..... labda hesabu za memkwa ndio itakuja elf10 Click to expand... Ahsante sana mkuu! nlitaka nishangae! tatizo kila mtu anataka kujfanya mwandish wa habar
Bableyy Member Joined Aug 4, 2014 Posts 72 Reaction score 26 Nov 3, 2014 #25 Hapo sawa maana presha ilinipanda coz nna dogo langu kashapiga kila kitu kuhusu interview bado go head tuu
Hapo sawa maana presha ilinipanda coz nna dogo langu kashapiga kila kitu kuhusu interview bado go head tuu
Ibravo JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 539 Reaction score 202 Nov 3, 2014 #26 Mods hebu mshurikieni huyu kiumbe ataua watu kwa pressure.
E EJay JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 693 Reaction score 174 Nov 3, 2014 #27 Larusai Mux said: Hizi ni nafasi za form four na six waliofanya usaili mwezi uliopita,walikua zaidi ya 10000 ,,mchakato ulighubikwa na sintofahamu Source;nipashe la leo Click to expand... kijana sometimes ukiamka asubuhi tafakari kwanza kabla hujafanya chochote usikurupuke kama hujui chochote
Larusai Mux said: Hizi ni nafasi za form four na six waliofanya usaili mwezi uliopita,walikua zaidi ya 10000 ,,mchakato ulighubikwa na sintofahamu Source;nipashe la leo Click to expand... kijana sometimes ukiamka asubuhi tafakari kwanza kabla hujafanya chochote usikurupuke kama hujui chochote
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,695 Reaction score 1,771 Nov 3, 2014 #28 I wish i could be mtu wa kugawa BAN humu ndani!
M Mteule halisi Senior Member Joined Oct 21, 2014 Posts 197 Reaction score 98 Nov 3, 2014 #29 Tafadhal mtoa mada omba msamaha, pumbafu kabisa