Akili ndogo sanaHuu Usimba na Uyanga utawafanya ndondocha
Usiwapangie Watu starehe za kuwapunguzia stress.Huu Usimba na Uyanga utawafanya ndondocha
Nakurekebisha kidogo yanga kashinda mechi 6 zote alizocheza mpaka sasa na sio mechi 5 kama nilivyokunukuu, kwaiyo mechi 6=18 pointsMsimu uliopita Sinba hakupata ushindi kwenye mechi nane (8) za ugenini; dhidi ya Mbeya city, Mbeya kwanza, Prisons, Mtibwa, Azam, Kagera, Geita, Biashara na Polisi. Lkn Kwa Mkapa alipata matokeo mazuri zaidi kuliko Yanga. Simba hakushinda mechi mbili tu, idhidi ya Yanga na Coastal. Ikumbukwe Yanga haikupata matokeo mazuri kwenye mechi tatu pale Kwa Mkapa, dhidi ya Simba, Prisons na Mbeya city.
Kwa upande mwingine, Yanga alishinda mechi karibu zote za nje ya Mkapa stadium. Alikosa ushindi kwenye mechi mbili tu, dhidi ya Mbeya city na Biashara.
Mwaka huu rekodi zimeanza kujirudia. Yanga wameshacheza mechi tano ugenini na wameshinda zote. Simba wao wamecheza mechi tatu na wameweza kushinda mechi moja tu.
Mwenye kuweza kuchambua (detailed) sababu zinazoweza kuwa nyuma ya trend hii anakaribishwa
Mbona umetaja karibu timu nzima?Shida ya Simba naiona katika ukosefu wa wachezaji bora wa kutosha. Ndani ya Simba kuna wachezaji wachache sana wenye quality, ukimtoa Chama, Inonga, Kanoute, Onyango, Kapombe, Tshabalala, Mzamiru Yassini, Sakho, Phiri, wengine wote waliobakia ni avarage players au rubbish tu.
Kibu Denis hatakiwi kwasasa hata akae bechi , Kyombo ni wa hivyo sana. Tunahitaji kusajili wachezaji wataoweza badili mchezo.
Lingine kocha, hamna kitu anabebwa tu na ubora wa baadhi ya wachezaji. Mechi ya leo kipindi cha pili Mbeya city walikuwa wanashambulia kwa kustukiza na kuizidi Simba kiungo. Nilitegemea kocha angeingiza Akpan azuie eti namuingiza Kibu D.
Sawa lkn ile ya Ruvu shooting ilichezwa Kwa Mkapa. Zilizochezwa nje ya Dar ni mechibdhidibya Polisi, Coastal, Kagera, Geita na Dodoma jijiNakurekebisha kidogo yanga kashinda mechi 6 zote alizocheza mpaka sasa na sio mechi 5 kama nilivyokunukuu, kwaiyo mechi 6=18 points
1 - 1Ngapi huko?
Ndio ugenini hiyo MkuuSawa lkn ile ya Ruvu shooting ilichezwa Kwa Mkapa. Zilizochezwa nje ya Dar ni mechibdhidibya Polisi, Coastal, Kagera, Geita na Dodoma jiji
Mjadala hapa ni perfomance ya hizi timu nje ya viwanja vya DarNdio ugenini hiyo Mkuu
Leo JF hakuna cha uzi kumzungumzia Chama wala Boko, kweli Simba ni gari la mkaa na washabiki wake huwahi kuridhika kama....ngoja niishie hapo [emoji38]Yaani simba ikicheza nje ya kwa Mkapa, inageuka kuwa nyau!
Kweli kabisaLeo JF hakuna cha uzi kumzungumzia Chama wala Boko, kweli Simba ni gari la mkaa na washabiki wake huwahi kuridhika kama....ngoja niishie hapo [emoji38]
Ushindi wa simba ni mipango mipango,na mipango hufanikiwa sana akiwa nyumbaniHuu Usimba na Uyanga utawafanya ndondocha