yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Apr 4, 2012 #1 Jamani mbona kimya,Tutaarifiane kuhusu rufaa ya wachezaji wa Yanga,au shaffi bado hajapewa matokeo? Tehe! Tehe!
Jamani mbona kimya,Tutaarifiane kuhusu rufaa ya wachezaji wa Yanga,au shaffi bado hajapewa matokeo? Tehe! Tehe!
CAMARADERIE JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,419 Reaction score 1,929 Apr 4, 2012 #2 Wamesema watagomea ligi
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,365 Reaction score 96,644 Apr 4, 2012 #3 Huuuu! Haaaaa!😛layball:
M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Apr 4, 2012 #4 yahoo na asprin mtakufa haraka acheni kufuatilia hii ligi ya tenga,nawaombeni sana mtaacha watoto wenu wakiteseka.
yahoo na asprin mtakufa haraka acheni kufuatilia hii ligi ya tenga,nawaombeni sana mtaacha watoto wenu wakiteseka.
palalisote JF-Expert Member Joined Aug 4, 2010 Posts 8,335 Reaction score 1,463 Apr 4, 2012 #5 wakigomea ligi waifute kabisa yanga. yaani utadhani hawana akili hawa tangu lini kadi nyekundu ya uwanjani ikakatiwa rufaaa?
wakigomea ligi waifute kabisa yanga. yaani utadhani hawana akili hawa tangu lini kadi nyekundu ya uwanjani ikakatiwa rufaaa?
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Apr 4, 2012 #6 wagome kabisa na wafutwe... simba na yanga ndizo zinazokwamisha maendeleo ya soka bongo
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Apr 4, 2012 Thread starter #7 palalisote said: wakigomea ligi waifute kabisa yanga. yaani utadhani hawana akili hawa tangu lini kadi nyekundu ya uwanjani ikakatiwa rufaaa? Click to expand... nyie ndo mnaotegemea habari kutoka jf,umesikia wapi yanga wanagomea ligi au kukatia rufaa kadi,yanga wanadai kuftwa kwa sheria..acha u****laya..unakua kama demu1:A S-omg:
palalisote said: wakigomea ligi waifute kabisa yanga. yaani utadhani hawana akili hawa tangu lini kadi nyekundu ya uwanjani ikakatiwa rufaaa? Click to expand... nyie ndo mnaotegemea habari kutoka jf,umesikia wapi yanga wanagomea ligi au kukatia rufaa kadi,yanga wanadai kuftwa kwa sheria..acha u****laya..unakua kama demu1:A S-omg:
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,506 Apr 4, 2012 #8 CAMARADERIE said: Wamesema watagomea ligi Click to expand... Bora wagome washushwe daraja ili Azam achukue nafasi ya kuwa kigogo rasmi
CAMARADERIE said: Wamesema watagomea ligi Click to expand... Bora wagome washushwe daraja ili Azam achukue nafasi ya kuwa kigogo rasmi