Matokeo ya Lowassa kujiunga CHADEMA


Matokeo mengne ni familia ya mchepuko wangu walikua 9 wote wameamia CCM baada ya lowassa kwenda UKAWA
 

BAADA TU YA LOWASSA KUJIUNGA NA CHADEMA NA UKAWA!!
i. CCM imekumbwa na misukosuko ya ndani kwa kuwa na mpasuko mkubwa na wa kutisha
ii.CCM imekumbwa na kiwewe kiasi kwamba mikutano yao inajaza wasanii wa maigizo na muziki kwa ajili ya kuvutia watu
iii.Watu wengi wanakula CCM mchana,usiku wanapanga mikakati ya kura usiku.
iv.Kamati ya Kampeni imepasuka vipandvipand kwa kutokuaminiana
v.CCM inatumia mbinu chafu za goli la mkono lakini zimekwishagundulika
vi.CCM imeishiwa sera na sasa wagombea walioshiba wanapiga "push up" mbele ya wanachi wenye njaa.
vii.CCM imefikia hatua ya kuiga mambo ambayo yamekuwa ni ajenda kuu za upinzani pamoja na nembo na kauli mbiu.
viii.Mgombea wa Urais wa CCM amekuwa akilalamikia na kuishutumu Serikali ya chama chake kana kwamba yeye ni mgombea huru asiyetokana na chama hicho.
ix. Rais wa JMT pamoja na kuvunja Bunge lakini amewaacha Mawaziri wakipita huku na kule wakifanya kazi za kukipigia cha ma cha Mapinduzi Kampeni ilhali walikuwa Ofisini kwa miaka 10 mfululizo.
x. Katika kipindi hiki cha Kampeni ubadhilifu wa mali za Umma unafanyika katika maeneo nyeti kwa lengo la kujipatia fedha za Kampeni na zile za kujaza matumbu ya wachache!!

AMINI USIAMINI: CCM ipo katika hatua za MWISHO za Uhai wake Tanzania.Punde itaungana na Vyama vikongwe ambavyo tayari vimekwisha ondoka madarakani!!
CHAGUA LOWASSA!!CHAGUA CHADEMA,CHAGUA MADIWANI WA UKAWA!!
 
 
Dalili za kila siku chama dola.kumuongelea lowasa ni dhaili shairi kuwa wanamuogopa , sasa hv ccm ndo wamekuwa walalamishi kwenye majukwaa kama cha.upinzan vile CHANCE IS UNESCAPABLE
 
DAAH jamaa wewe unaona mambo kwa upana na urefuu

11. Kila mara wanamuimbia mfalume nyimbo ili afurahi.Mabadilikoooo lowasaaa,,,lowasaaa...hata CHADEMA nafutika mdogo mdogo
 
Sikuwahi kuota upinzani unaweza kufanya makosa makubwa namna hii. Mpaka leo sijapata kujua ni nini kinachowaunganisha upinzani na,chadema.

 
Mnajidanganya sana kujaza watu ndio ushindi? Hukuona lowasa alikuwa akijaza watu wakati anatafuta wadhamini akiwa ccm lakini mwisho wote akaangukia pua ndivyo itakavyotokea tr25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…