stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,120 Reaction score 28,022 Jan 2, 2014 #1 Wadau haya matokeo ya Darasa la saba yaliotangazwa mwezi uliopita yanapatikana website gani!
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,686 Reaction score 12,451 Jan 2, 2014 #2 Kwa matokeo angalia necta.go.tz, nenda kwenye psle 2013. Kuchaguliwa secondary aliyochaguliwa nenda kwenye notice board ya kata alikofanyia mtihani mtahiniwa unayemwangalizia
Kwa matokeo angalia necta.go.tz, nenda kwenye psle 2013. Kuchaguliwa secondary aliyochaguliwa nenda kwenye notice board ya kata alikofanyia mtihani mtahiniwa unayemwangalizia