Kuwa mpole mipango bado inafanyika Matokeo bado hayajatoka yanategemewa mpaka tarehe 20 yatawekwa wazi!Na imani wazima ndugu zanguni.
Kama kichwa cha habari Hapo juu kinavyojieleza. Nimepata taarifa kuwa Matokeo hayo yametoka tangu mwaka mpya. Lakini nimeangalia sehemu mbali mbali ikiwemo blogs na web ya necta hamna kitu.
Tafadhali mwenye kunitoa matongotongo juu ya hili, anitoe waungwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie tayari nimeshanunua vitabu vya darasa la tano......Na imani wazima ndugu zanguni.
Kama kichwa cha habari Hapo juu kinavyojieleza. Nimepata taarifa kuwa Matokeo hayo yametoka tangu mwaka mpya. Lakini nimeangalia sehemu mbali mbali ikiwemo blogs na web ya necta hamna kitu.
Tafadhali mwenye kunitoa matongotongo juu ya hili, anitoe waungwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu, aliyeniambia na kunihangaisha google huko ni muhuni tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini usubiri ya Form IV na VI inamaana vilaza wapo Form IV na VI tu?
Nililazimika ku google cause niliambiwa yametoka na last week nilikuwa busy Sana, sikuwa na uhusiano mzuri na mtandao. Though, no harm ku google info yoyote unayoitaka.
Nchi kubwa Sana hii mkuu.[emoji53]hivi bado kuna ambao huwa wanafeli?