HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 108
wana dar es salaam kweli mnatuangusha sana na kwa mwendo huu ukombozi wa nchi yetu tanzania bado tunayo safari ndefu ya kwenda. Siamini leo 2012 bado ccm inaweza kushinda udiwani dsm!! Tulikosea sana makao makuu ya tanzania kuwa dsm. Believe me hata leo ukaitishwa uchaguzi mwanza city, mbeya city au arusha city ccm haiwezi kuambulia hata kata moja. Lakini bado dsm ambayo tulitegemea iwe chachu ya mabadiliko tanzania bado mnaibeba ccm. Wakaazi vijibweni kulikoni?!
Licha ya kupatikana matokeo ya kata hz chache na mshindi wake.
1. Kirumba (mwanza) - chadema.
2. Lizaboni (songea) - chadema.
3. Kiwira (mbeya) - chadema.
4. Vijibweni (Dar) - CCM
5. Chang'ombe (dodoma) - ccm.
6. Msambweni (tanga) - CUF.
.
.
TUNAOMBA TUJUE HUKO KULIKOBAKI.
Wana Dar es Salaam kweli mnatuangusha sana na kwa mwendo huu ukombozi wa nchi yetu Tanzania bado tunayo safari ndefu ya kwenda. Siamini leo 2012 bado CCM inaweza kushinda UDIWANI DSM!! Tulikosea sana makao makuu ya Tanzania kuwa DSM. Believe me hata leo ukaitishwa uchaguzi MWANZA CITY, MBEYA CITY au ARUSHA CITY CCM haiwezi kuambulia hata kata moja. Lakini bado DSM ambayo tulitegemea iwe CHACHU ya mabadiliko Tanzania bado mnaibeba CCM. Wakaazi vijibweni kulikoni?!

8. Lagangabilili- Simiyu - CCM7. Kiwangwa Bagamoyo - CCM