wahitimu wa siku hizi raha tupu teknolgia imesaidia sana, matokeo yakitangazwa tu yanawekwa kwenye website fasta yanapatikana hata kwenye simu. Enzi zetu ilikuwa ishu kuyaona matokea yako hata kama upo town matokeo yakitangazwa kuyaon a hadi kwa afisa elimu utakuta yamebandikwa ukutani, wengine wakishaona yao wanachana karatasi zenye majina, yaani ilikuwa changamoto kufahamu matokeo yako. Nashauri kwenye matokeo haya ya form 6 waweke kabisa na majina ya wanafunzi na sio namba