ni kweli kwamba wanafunzi waliofanya vibaya matokeo ya kidato cha pili wataendelea na kidato cha tatu je kama ni kweli ufaulu kidato cha nne utapanda lini?
Hata huko form4 hakuna kufeli kwani wameshaongeza mpaka division 5. Hiyo ndiyo BRN kwa TZ, badala ya kuondoa matatizo yanayosababisha matokeo mabaya,wao wanashusha ufaulu."Ukistaajabu ya musa.................:hug:"
Wizara yenye dhamana na elimu nchi hii ni kama punching bag lolote baya la kujaribu ni pale, nani asiye na kumbukumbu na madudu ya mungai? aliepo sasa ndo hata hajui mbele wapi nyuma wapi, ila kwa kauli mbiu aah utapenda eti