Matofali ya kuchoma yanauzwa

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,316
Jamani nauza matofali ya kuchoma kwa bei chee kabisa.

Kwa atakakayekuwa na shida ya matofali anicheki kupitia 0764339400.

Mimi niko Mwanza Town
 
Onesha Tofali hizo, za kienyeji au za kisasa?
 
Bana ni matofali ya kuchoma nataka 200 kwa kila tofali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…