Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 10,674 Reaction score 15,587 Sep 1, 2025 #21 Hoja zake zinamashiko lakini hiinchii ilivyo corrupt mifumo inategemea simu toka juu.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,914 Reaction score 136,880 Sep 1, 2025 #22 Pdidy said: Bwege huyu ana pesa za kuonga mahakama Click to expand... Na mfumo unamtaka 😄 Ova
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,904 Sep 1, 2025 #23 KING MIDAS said: Inasikitisha Click to expand... Balaa tupu kuwa na mahakama ya hovyo kama hii
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,263 Reaction score 39,865 Sep 1, 2025 #24 Yaani alikua na kadi ya CCM ila alikua mbunge wa Chadema!! Hii nchi kuna mambo yanakera sana
Gurugurumee JF-Expert Member Joined Apr 4, 2024 Posts 702 Reaction score 1,235 Sep 1, 2025 #25 Pingamizi tamu kama biriani ila halifiki mezani, aliebeba sinia anajikwaa na kuanguka alafu biriani lote linamwagika kwenye maji machafu. Mahakama itatupilia kule pingamizi na Matiko anakua mbunge kama kawaida.
Pingamizi tamu kama biriani ila halifiki mezani, aliebeba sinia anajikwaa na kuanguka alafu biriani lote linamwagika kwenye maji machafu. Mahakama itatupilia kule pingamizi na Matiko anakua mbunge kama kawaida.
J Jikombe JF-Expert Member Joined May 13, 2010 Posts 771 Reaction score 782 Sep 1, 2025 #26 Pingamizi litatupwa kirahis tu kwa hoja kuwa mahakama haimzuii mtu kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Pingamizi litatupwa kirahis tu kwa hoja kuwa mahakama haimzuii mtu kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,396 Reaction score 14,682 Sep 1, 2025 #27 kwa maslai ya taifa said: Rostam alshatwambia kuhusu mahakama za Tanzania kwaiyo asipoteze muda Click to expand... Hiyo pingamizi haiko mahakamani. Pingamizi zinashughulikiwa na INEC. Hata hivyo, yote ni matawi ya CCM!
kwa maslai ya taifa said: Rostam alshatwambia kuhusu mahakama za Tanzania kwaiyo asipoteze muda Click to expand... Hiyo pingamizi haiko mahakamani. Pingamizi zinashughulikiwa na INEC. Hata hivyo, yote ni matawi ya CCM!
mwalisi JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 950 Reaction score 906 Sep 1, 2025 #28 Majimbo yakupewa