Mpeleke hospital tu, anaweza kufanyiwa upasuaji kulingana na hali yake. Hospitali nyingi Tanzania kuanzia ngazi ya hospitali za wilaya wanatoa matibabu na upasuaji wa hernia kwaio sio lazima muhimbili, hata baadhi ya vituo vya afya. Pia kama ni mtu wa kazi ngumu au mazoezi sana apunguze, hospitali ndo mtapewa ushauri mzuri na matibabu kutokana na kisabishi haswa cha hio hali. Wahi hospitali mkuu