wakasema kupima ni kwa computer basi tukalazwa kitandani pale tukavuliwa vichupi vyetu vikatupwa nje huko
nilikuwa sijui bwana nimesoma biology iyo topic sijui sikwenda shule siku hiyo? so nilivoona nyonga inasumbua nikaona nicheki fasta si unajua mwanamke nyonga? na mchina kaleta kila kitu isipokuwa nyonga dada eeh nitaishije mjini hapa cc@Lara1 gfsonwinHa ha ha ha, tabu ya kupima ukiwa mzima hawakosi neno
Kuumwa wakati wa ovulation sidhani kama ni maajabu, sio wa kwanza kusikia unaumwa hivyo.
Smile mi nimekua interested sana na hapo ulipovuliwa chupi "tukalazwa kitandani pale tukavuliwa vichupi vyetu vikatupwa nje"kwahiyo mlipata hayo matibabu bibi akiwa anaonekana au mi silewi vizuri hapo?ni ramli ya kizungu au ni nini?
sometimes nikiwa katika kipindi cha ovulation kiuno/nyonga huwa inaniuma sio sana lakini.especial kama ni ovary ya upande wa kushoto
sasa juzi ikanitokea
nikamueleza best yangu sasa tukiwa njiani tukaona clinic ya wanawake na uzazi nikamwambia tucheki maeneo yetu kama yapo vizuri siku hizi magonjwa mengi
basi tukaenda pale,kumuona dokta na kupima 50
wakasema kupima ni kwa computer basi tukalazwa kitandani pale tukavuliwa vichupi vyetu vikatupwa nje huko
tukashikishwa mouce ya kompyuta dkk mbili tatu tukaambiwa tayari tufate majibu kesho yake eti system ina load matatizo yetu
kesho yake hao tukaenda
maweeeeeeeee mimi nikaambiwa eti nina cyst ndogooo ndo inaanza kujitokeza matibabu laki mbili,nikawaambia mi nina insurance nitaenda kununua dawa sehemu ingine wakasema kama ni hivo sitapona
ila niliogopa kweli nikaendfa kwa dokta mwingine akaniambia sina chochote akanieleza na sababu za kuumwa kwangu
shoga yangu nae kidogo afe pressure maana aliambiwa mlango wa kizazi upo wazi so unatakiwa ufungwe yaani ngoja narudi...
sio tabata bwana buguruni huko.unavuliwa chupi kwa kompyuta eti? yaani dunia ina uongo hiii ? hela inatafutwa jameni
Haya mi sisemi,na hivyo unavyoonekana kwenye hiyo avatar yako nikifikiria huyo bibi alivyo,nabaki kumuonea wivu huyo mtabibu,badala ya kukuonea huruma,lakini pole kwa yaliyo kukuta mwaya.ndio mkuu eti kompyuta inasoma data mdogo mdogo hapo kwa bibi
ni ramli ya kizungu au ni nini?
sometimes nikiwa katika kipindi cha ovulation kiuno/nyonga huwa inaniuma sio sana lakini.especial kama ni ovary ya upande wa kushoto
sasa juzi ikanitokea
nikamueleza best yangu sasa tukiwa njiani tukaona clinic ya wanawake na uzazi nikamwambia tucheki maeneo yetu kama yapo vizuri siku hizi magonjwa mengi
basi tukaenda pale,kumuona dokta na kupima 50
wakasema kupima ni kwa computer basi tukalazwa kitandani pale tukavuliwa vichupi vyetu vikatupwa nje huko
tukashikishwa mouce ya kompyuta dkk mbili tatu tukaambiwa tayari tufate majibu kesho yake eti system ina load matatizo yetu
kesho yake hao tukaenda
maweeeeeeeee mimi nikaambiwa eti nina cyst ndogooo ndo inaanza kujitokeza matibabu laki mbili,nikawaambia mi nina insurance nitaenda kununua dawa sehemu ingine wakasema kama ni hivo sitapona
ila niliogopa kweli nikaendfa kwa dokta mwingine akaniambia sina chochote akanieleza na sababu za kuumwa kwangu
shoga yangu nae kidogo afe pressure maana aliambiwa mlango wa kizazi upo wazi so unatakiwa ufungwe yaani ngoja narudi...
hivi wanauza picha eeh maweee!!!!