Habari wadau naitwa Elifuraha Lyimo natafuta kazi ya Ualimu shule za msingi English Medium nna cheti cha daraja la 3 A nnafundisha masomo ya Mathematics , History,Sst , Civic and Moral,Kiswahili nipo Dar-es-Salaam mawasiliano yangu ni 0714954609 ahsante