Hao wasanii si wanakodiwa bali wanaenda kwa mapenzi yaomna CCM. Kumbuka CCM ina watu wengi wa kila kada wakiwemo wasanii. Kama tungemkodi Afande Sele, Sugu ama Prof Jay ndo ungekuwa na jeuri ya kuongea. Ila kuhusu akina Diamond ama TOT hapo shut up
Mwaka huu hata kama mngemleta 50 cent mtaisoma namba.....
CCM kimekua kikitumia nguvu na gharama kubwa sana kupata mahudhurio ya watu mikutano yake.
Yaani bila motivation mambo hayaendi.
Ni lazima wakodi wasanii na kukodi mabasi na fuso ili kusomba watu.
Kwa chama kinachojinadi kuwa kinaungwa mkono na watanzania wengi, this is pathetic!
burudani ni sehemu ya campaign ni uhamasishaji...?