Habari za uzima wana JF?
Naulizia kwa wale wataalam wa kufanya matengenezo ya smart TV. Kuna 32 LG imeunguza taa pia kioo chake kime crake pembeni kwenye kona (90°)
Sasa kwa tatzo kama hilo inawezekana ikatengemaa na kurudi katika ubora wa awali. Msaada kwa wenye utaalamu. Nawasilisha