Hivi inakua vip unakua upo kweny uhusiano wa kimapenzi na mtu ambae unajua hautakua unamuamin!??
Sometimes unakuta watu wanapigizana kelel hat mbele za watu Kisa wivu wa ajabu kwanini eti kwann ujipe shida!??
Kila siku wanawake kwa wanaume wanazaliw unashindwa kutumia kauli mbiu ya KATA MTI, PANDA MTI!?
mpka wengn wanaanza kuomba ushaur kweny majukwwaa kam hay!??
Jaman naomben mnisaidie kuwashaur hawa watu na kuwaambia MAPENZI HAYA SHAURIKI