Naomba msaada wa visababishi, tiba na namna ya kuzuia. Nimeugua miaka minne sasa natumia dawa siponi. Kila nikienda hospitali napigwa exray na napewa dawa siponi, sa zingine natoa jasho jingi ila mwili unahisi baridi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.