Matatizo ya TV E Tanzania

lupy

Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
50
Reaction score
33
Hii channel ni nzuri sana ila shida ni moja hawaandikiki jina la muziki wala alieimba. Wakati wimbo unachezwa
 
Hii channel ni nzuri sana ila shida ni moja hawatambulishi mziki wakati unachezwa wao ni kupiga tu NAWASHAURI WAWE WANATAMBULISHA MUZIKI WAKATI UNACHEZWA
We mgeni nini mjini kaka du
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…