Mfumo wa ndoa ukiutazama ni mfumo wenye dosari kubwa sana , nafikiri hata Mungu aliusahau kwani alimuumba Adam kwanza akasahau msaidizi ( Mke) ,,,,,, mpaka alipostuka na kusema si vyema mtu kuishi peke yake.
Maamuzi na matatizo ya ndoa yakianza kuwekewa vikao ,,,,ndoa hiyo nakwambia imekufa kwani idara iliyowekwa na Mungu , haijadiliwi Bali inaboreshwa.idara hii inatakiwa ipelekwe kwa Mungu ( kanisani), kuboreshwa si kuivunja
Na tatizo watumishi wa Mungu wanakosea wao , ni kuwashauri wote kwa pamoja . kusudi la Mungu huwa linabebwa na mtu mmoja siyo kundi .
Muone mwanandoa mmoja abebe ndoa yake hasa (mke ndiye mwenye ndoa) , kila mmoja ukimwambia achukue udhaifu wa mwenzake .
Ni mbaya sana kupeleka maumivu ya ndoa yako kwa mtu mwingine , na yeye ana ndoa yake ambayo ni tofauti kabisa na wewe.
Hatujaja duniani kukusanya vitu Bali kuvitimiza ,,,,hakikisha unayehusiana naye unaenda naye katika mdundo mmoja wa kimuziki,,,,,,,,kwa maana ya kuelewa huyu hapa mwenzangu ana kasoro , sasa kasoro hizo Mungu anataka uzifunike , siyo uzifichue ,,,,,ukimuona Mwanamke anafichua kasoro zako katika vikao ,,,,,,piga magoti muombe Mungu aingilie kati.
Mke na Mume mnaoana kwa sababu mna kasoro . usimuache kwa sababu ana kasoro , mkubali ili umbebe . Mungu ameona akikupa huyo wa namna hiyo kusudi lake litatimia
Kumbuka mwanamke anaongezewa mafuta kwa compliments yaani mwambie kila siku unampenda ,,,,,ila Mwanaume hashawishiwi kiurahisi ,,,,ukimuheshimu tu ,,,,anajua unampenda. Kwa maana ingine mwanamke ni mlinzi na anaona ndoa vizuri kuliko mwanaume .
Hata biblia imesema
Mithali 14:1. " kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake ; Bali aliyempumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Be inspired
Wakuu mi nimejiunga leo jf, hivi ukitaka kuweka status unawekaje?
Hatujaja duniani kukusanya vitu Bali kuvitimizaMfumo wa ndoa ukiutazama ni mfumo wenye dosari kubwa sana , nafikiri hata Mungu aliusahau kwani alimuumba Adam kwanza akasahau msaidizi ( Mke) ,,,,,, mpaka alipostuka na kusema si vyema mtu kuishi peke yake.
Maamuzi na matatizo ya ndoa yakianza kuwekewa vikao ,,,,ndoa hiyo nakwambia imekufa kwani idara iliyowekwa na Mungu , haijadiliwi Bali inaboreshwa.idara hii inatakiwa ipelekwe kwa Mungu ( kanisani), kuboreshwa si kuivunja
Na tatizo watumishi wa Mungu wanakosea wao , ni kuwashauri wote kwa pamoja . kusudi la Mungu huwa linabebwa na mtu mmoja siyo kundi .
Muone mwanandoa mmoja abebe ndoa yake hasa (mke ndiye mwenye ndoa) , kila mmoja ukimwambia achukue udhaifu wa mwenzake .
Ni mbaya sana kupeleka maumivu ya ndoa yako kwa mtu mwingine , na yeye ana ndoa yake ambayo ni tofauti kabisa na wewe.
Hatujaja duniani kukusanya vitu Bali kuvitimiza ,,,,hakikisha unayehusiana naye unaenda naye katika mdundo mmoja wa kimuziki,,,,,,,,kwa maana ya kuelewa huyu hapa mwenzangu ana kasoro , sasa kasoro hizo Mungu anataka uzifunike , siyo uzifichue ,,,,,ukimuona Mwanamke anafichua kasoro zako katika vikao ,,,,,,piga magoti muombe Mungu aingilie kati.
Mke na Mume mnaoana kwa sababu mna kasoro . usimuache kwa sababu ana kasoro , mkubali ili umbebe . Mungu ameona akikupa huyo wa namna hiyo kusudi lake litatimia
Kumbuka mwanamke anaongezewa mafuta kwa compliments yaani mwambie kila siku unampenda ,,,,,ila Mwanaume hashawishiwi kiurahisi ,,,,ukimuheshimu tu ,,,,anajua unampenda. Kwa maana ingine mwanamke ni mlinzi na anaona ndoa vizuri kuliko mwanaume .
Hata biblia imesema
Mithali 14:1. " kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake ; Bali aliyempumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Be inspired
Duuuhh umelenga mulemuleumejiunga lini mkuu???
Yaani nimecheka hapaaaa jomoni etii kajiunga lini??? Internet never forget lpjuu hiumejiunga lini mkuu???
Kama unavyoweka WhatsAppWakuu mi nimejiunga leo jf, hivi ukitaka kuweka status unawekaje?
Hilo neno Jomoni linatukera Sana sisi wanaume wa JfYaani nimecheka hapaaaa jomoni etii kajiunga lini??? Internet never forget lpjuu hi
Kunywa sumu tuu mkuu hamna namna utuachie sisi tuuze simu used,, Alaf usiseme Wanaume wa jf maana ww ndo uliyesema umeona kuna mwingine ka quote kakereka Kwani??Hilo neno Jomoni linatukera Sana sisi wanaume wa Jf
mtu mpaka kunyimwa mechi anaitisha kikaoMfumo wa ndoa ukiutazama ni mfumo wenye dosari kubwa sana , nafikiri hata Mungu aliusahau kwani alimuumba Adam kwanza akasahau msaidizi ( Mke) ,,,,,, mpaka alipostuka na kusema si vyema mtu kuishi peke yake.