Wapendwa wanasheria wa nchi hii, hivi sheria ya kuanzishwa vyama vya wafanyakazi ni kweli inamlazimisha mfanyakazi wa kada hiyo kuingizwa uanachama kwa lazima? Na kama ndivyo, hakuna njia ya huyu aliyelazimishwa uanachama kuukataa kama hauna maslahi? Wasaidieni walimu wenu basi namna yakutoka cwt kama sehemu ya kuwarejeshea shukrani ya kukufundisha a,e,i,o,u! Kwani hakiwasaidii sana sana wanakula 2% za mishahara yao tu.