CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
charminglady huyu jamaa TANMO ni kweli haogagi kweli, kuna binti mmoja walikutanaaga kwenye semina ya michakato huko dodoma , baada ya semina kuisha binti akaja na uzi hapa JF .nimecheka sana baada ya kusoma huu uzi. kumbe lisemwalo lipo"Dawa ya mba, mende, kunguni, vipele, mapunye, dawa ya mba, fangasi, vipele, mapunye" natumai wengi mshalisikia hili tangazo. Sasa juzi kati nimekutana na h ii mpya. Dawa ya kuongeza hamu ya kuoga inaitwa "Ogasis" hii inaongeza hamu ya kuoga kwa wale wavivu wa kuoga.
Erickb52, Junior. Cux, Kingmairo, Mphamvu na Nyani Ngabu, Saint Ivuga, TANMO, Boflo, hii dawa itawafaa sana make ninyi tangu mmeoga wakati mnaenda Meimosi mkidhani mtachaguliwa kuwa wafanyakz bora mkachemka. sasa mwasubiri sabasaba!
AAAAH nikusasahau bana hata we umo, tumia hiyo dawa yan utakuwa unapata hamu ya kuoga kila wakati ati!!!!!!!!Bora hujanitaja lol
mi nataka dawa yakuongeza hamu ya kutongoza
charminglady huyu jamaa TANMO ni kweli haogagi kweli, kuna binti mmoja walikutanaaga kwenye semina ya michakato huko dodoma , baada ya semina kuisha binti akaja na uzi hapa JF .nimecheka sana baada ya kusoma huu uzi. kumbe lisemwalo lipo
waooooh, dawa hiyo inapatikana ngoja nifanye mchakato wa kuagiza! Judgement
TEH TEH umeona eeeeh Saint Ivuga, BTW ulikuwa umefichwa wapi??? my ex-hezbend???
charminglady kuoga kunapunguza uzito bana!!!!!HAHAHHAA kumbe na wewe ulisahaulika, afu BAGAH we c ndo yule uliyeoga pasaka hadi leo hujaona tena... kaoge bana!!!!!!
Mi nataka dawa yakuongeza hamu ya kutongoza
mmmm! Tena umenikumbusha, hivi charminglady kwani yale mapunye yako ya kwenye makalio na fangas za ikulu ulishapona?.....maana nakumbuka hicho kilikua kikwazo kwangu nikakupiga chini nikajichukulia honey Madame B ,ulikua unatisha sana
Niagizie banaa maapetait ya kuvinjari Uvinza muhimu, sometyms yana return profitable! Jamaa yangu aliachiwa vijiCorola viwili hivihivi.
Chezeiya tongue weyee?