Huwa wanuliza aswali general kama
1:"unapenda muundo upi wa serikali kati ya serikali moja, serikali mbili au serikali tatu"
2: upi ni msimamo wako juu ya hilo? 3: kati ya M4C na vua gamba unapenda ipi? 4:kati ya CHADEMA, CCM Na CUF kipi ni bora ?

maswali ya utumishi huwa niya darasani kwa kile ulichojifunza,nakushauri kutafuta job description katika tangazo la kazi.wanabase hapo nimefanya written nyingi utumishi.wish you all the best
nami nilijiulizaga kama wewe wanauliza nn? kwakuwa mi ni mchumi nikakuta maswali kama ni njia zipi bot wanatumia kupunguza inflation? swal jingine lilikuwa hivi ni jinsi gan tz itanufaika na eac na changamoto zake katika muungano huo? so expect maswal ya field yako , pitia basics topic zote utafanikiwa .
Huu mtandao umeshaingiliwa na majangili na division zero za Mulugo!
Hata ukiuliza kitu kizuri majangili ya meno ya tembo yanavamia na kuchangia upuuzi tu!
Kama kitu hakikuhusu au hukijui kwa nini udakie!
Watanzania sisi tuna shida za kujua angalau na sisi tupate maisha watu wanatia viherehere vyao! UGREAT THINKING UKO WAPI JF TENA?