Hata wanaouliza maswali kwenye interview mda mwingine unakuta nao hawako competent kwa hyo jamaa hajakosea kuuliza unaweza kushare tricky questions kama umewah kuhudhuria sidhani kama jamaa mweupe kiasi hicho mnachodhani nyinyi wajua kila kitu
Imagine mtu amekaa mtaani miaka 7 akiwa hafanyi kile alichosomea sidhan kama mtu huyu anaweza kutumia akili ile ya chuo bila kujiandaa tusidanganyane na kujikweza humu kwenye platform kuna mambo mengi kwenye kuomba kazi