Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kuuliza kwa mtu aliyewahi fanya usaili au paper kada ya TRANSPORT OFFICERS natahitaji kujua maswali wanayotoa yanabase upande gani? au kama unayakumbuka tupia hapa nipate muongozo tafadhali.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabsa!!