Hata ukija na kona nyingi nyingi tusha kubaini kuwa wewe ni Ant Lowasa, na kwa taarifa yako tu ni kuwa ndani ya ccm hakuna mtu wa kumpiku Lowasa ktk mbio za urais 2015....
Sidhani kama hao ni mapunguani bali yawezekana kuwa wewe ndo punguani au kwa vile mnapishana mrengoHayo maswali ata mapunguani wa hapa JF akina Lizaboni FaizaFoxy MwanaDiwani msalani wanaweza wakajibu ebu leta maswali mazito ?
OCAMPO FOUR akijibu maswali haya nasitisha kugombea ubunge .
Na wewe tunakujua kuwa ni Pro Lowasa. Na kwa taarifa yako ni kwamba ndani ya CCM Lowasa ananuka kama kinyesi
Maswali ni mazuri mno na ni machungu kwa Ocampo four
Hayo maswali ata mapunguani wa hapa JF akina Lizaboni FaizaFoxy MwanaDiwani msalani wanaweza wakajibu ebu leta maswali mazito ?
Maswali mazuri..tutayatumia mengine kwenye midahalo!!!
Mdahalo gani? Yaani mdahalo moja umuweke Lowassa na Kigwangala sii ni dharau kubwa sana.....
Mdahalo moja umuweke Lowassa na Mwigulu, sii ni dharau kubwa.
Mdahalo moja umuweke Lowassa na Membe sii ni dharau kubwa hiyo.
Hata kwenye ndondi wanazipiga kutokana na uzito. Sasa mdahalo gani hauangalii uzito, uzito wa Lowassa kwa sasa hakuna.
Jibu swali la 25 kabla picha za selukamba na edoo hazijamwagwa hapa
Hilo swali ni mahsusi kwa Nyalandu na Membe wanamjua mzungu moja wa Marekani anaitwa Charles Dunken
Hilo swali ni mahsusi kwa Nyalandu na Membe wanamjua mzungu moja wa Marekani anaitwa Charles Dunken
Du nimepita Kama ni hesabu basi hii ni pure mathematic .....
kama ni chemistry cjui ni organic...
Kama ni sheria ni. Haaaa nasepaaa
Vipi yule mrusi wa lowasa peter korav
25 hard knocks questions ni mwiba kwa Lowassa.
Warusi hawana majina ya Peter huo ni uongo uliotukuka. Me namjua Charles Dunken aliyemboost Nyalandu kabla ya kuvunja amri ya 6 na Aunt Ezekiel (source, Aunt Ezekiel). Huyo huyo Membe anamjua vizuri sana. Kuna mwarabu moja hivi pia ndio anamfaidi joka la mdimu, natafuta jina then am coming back to you.
25 hard knocks questions ni mwiba kwa Lowassa.