Pinda kajibu kwa kusema kuwa Serikali inajitahidi kuchunguza na kulitolea taarifa. Swali la Nyongeza mh Mbowe kapendekeza kuundwe tume huru na hasa kwa Dr Ulimboka kwani kwa kuiachia Police wakati wanahusishwa moja kwa moja ni kuipunguzia sifa nchi hii