Kwa vile wana CCM Zanzibar mlipewa ujumbe na vitisho muthamini Butiama na kutupilia mbali Zanzibar na maslahi ya watu wake.
Mara baada ya kikao cha jumapili, kiongozi mmoja wa CCM:MrFrosty,
Sijui ni nani alikwambia kuwa CCM Zenji walipewa vitisho, hebu tupe ushahidi.
Kama wewe huutaki muungano kwa sababu zako binafsi, hiyo ni haki yako. Hata hivyo kumbuka kuwa 'You are a single entity', wako wengi wanaouombea muungano udumu.
Muungano una karibu miaka 50, kwa hiyo hauwezi kuburuzwa kaburini kwa vile tu MrFrosty hautaki.
Ndio kuna kasoro katika Muungano zinazohitaji kutatuliwa,
Yakhee, tukiua muungano, sio ajabu utafuatia wa Pemba na Unguja, halafu Mkoani na Wete n.k, n.k, kisa kila mtu ana vijisababu vyake. Hivi tutafika mwarabu wangu kwa tabia hii ya kukimbia au kutunga matatizo?
Usisahau karibu Konde yote ni ya wasukuma na wanyamwezi wa Tabora, utawafukuzia bara ili ubaki na washirazi?
Kumbe hivyo ndio Vitisho tena toka kwa Mzanzibari? Au ni kwa vile maazimio yalifikiwa Butiama?Mara baada ya kikao cha jumapili, kiongozi mmoja wa CCM:
Wajumbe wote wa CCM katika Baraza la wawakilishi wanapaswa kutetea na kulinda azimio la Butiama, na atakayekwenda kinyume ataadhibiwa, alisema Vuai.
Who told you that I am the only against this evil union?...if you think I am just a single entity, think again.
Muungano una karibu miaka 50, lakini kama wewe unajua kuchora graph ya development against time...basi utaona kama maendeleo ya Zanzibar yamezorota au kukwama au kuanza kuchukua -ve slope...right after the union.
Kwanini unataka kupoteza rasili mali za wanyonge kutatua na complicate maisha...wakati kitu simple hizi nchi zetu ni masikini hazihitaji kuwapotezea nguvu wananchi kwa kufikiria jinsi ya kutatutua complexity ya muungano....suluhisho ni kuvunja.
Hizi ni theory za Nyerere kuwa muungano ukivunjika, basi Pemba na Unguja zitaparaganyika.Muungano una miaka 50, wakati taifa la Zanzibar lipo miaka mingapi?.
Nikuulize wewe kama umefika Pemba unayetaka kuuvunja Muungano wetu tokea kwenye ka-Laptop kako. Usifikiri ni wewe tu ndie mwenye kumiliki uZanzibari.Ushawahi kufika Pemba lakini?Au umesoma kwenye hotuba za Nyerere?
Ningekushauri utoe sababu zako halisi za kuupinga Muungano ili nia yako ieleweke. Usizifiche, otherwise zip it up na utuachie tuendelee kuulea na kuudumisha Muungano wetu.
Hapo nilipopiga bold, unaonesha wazi wewe ni copy paste ya Nyerere with a bit of dictatorship mind....
Mimi nilichokifanya nimetumia haki yangu ya kutoa maoni.Lakini mwenzangu unaonekana umekerwa sana na kuwa mimi sipendelei muungano.Samahani sana kwa hilo, lakini hii haiwezi kunisaidia kubadili msimamo wangu.
Mimi nitaendelea kudai haki yangu ambayo imetekwa na Nyerere ya kuniondoshea utaifa wangu na kunibandika kikofia cha kimasai (i.e kitanzania) hadi nitaingia kaburini au kutatokea marekebisho.Wewe kama utasusa fanya hivyo...
Sasa mimi nikupe sababu za kupinga muungano wakati mwenyewe tayari umekubali kama muungano una matatizo?
Mimi sitaki sitaki na wala sijiskii peace kuitwa mtanzania, nataka niitwe mzanzibari na nijulikane kama ni mzanzibari....thats what feels right and natural to me, whats so hard for you to understand that?
Mtanzania halisi MrFrosty,
Wewe ni Mtanzania ukijishaua na Uzenji sio vibaya. Ni sawa na mtoto mdogo anapovaa viatu vya mama yake ingawa yeye ni mvulana. Hawezi kubadilishwa na viatu. Kwa hiyo na wewe jishaue tu unavyotaka lakini ujue kuwa wewe ni Mtanzania.
Inavyoelekea ni kuwa wewe huna sababu za kuupinga Muungano na umeishiwa na hoja bali una kelele nyingi tu na ndio maana nikakwambia kuwa kama huna point ya kupingia Muungano, basi Zip it, maana ndoa ya miaka 50 haiwezi kuvunjwa kwa kelele za watoto.
Defend your position if you can, otherwise accept your true identity ya uTanzania na ukae kimyaa kama unayenyolewa.
Ukitaka kujishaua na kujiita Mzanzibari, rukhsa, sawa na Muha akijiita Mkigoma, lakini wote tutabakia waTZ.
Zaidi ya yote, asilimia kubwa ya waliopo Zenji wana asili ya bara. Wachache waliobaki ni wa ngazija na wengine wamechangia damu na waarabu na waajemi. Sijui wewe mwenzangu ni wa kundi lipi lakini hawa mashombe ndio wengi wenye kuusagia muungano kwa sababu wazijuazo wenyewe. Au unabisha mwarabu wangu?
Sasa hebu tetea hoja yako ya kuvunja muungano kama ulivyouita the 'evil union' ila kama huna hoja basi tuuache muungano wetu urekebishwe na kunawiri.
Mtanzania halisi MrFrosty,
Wewe ni Mtanzania ukijishaua na Uzenji sio vibaya. Ni sawa na mtoto mdogo anapovaa viatu vya mama yake ingawa yeye ni mvulana.