Nmefatilia hivi karibuni, vyuo vingi kama ulipata GPA ya 3.5 na kuendelea masters yko hautokuwa na course work, ila kam gpa ya chini ya 3.5 maana utapiga coursework

Unaposema ya CW ni nzuri inategemea unasomea chuo gani. Kwa Chuo kama UDSM bora upige tu thesis. Unaposoma by Coursework unapigishwa kwata la nguvu kwenye CW. Alafu mwishoni unamalizia na Dissertation ambapo kwa UDSM uzito wanaoweka kwenye dissertation na thesis tofauti ndogo sana
Ndiyo. Thesis inatumika kwa mtu anayeanza kusoma moja kwa moja kuanza kuandika research proposal na kuendelea na research yake. Wanaosoma kwa CW wanapiga kwanza pindi na mitihani ndo baadaye waende research. Ujinga wa CW ukishafikia hatua ya kuandika proposal na research hauna tofauti na mtu wa thesis, japo kwenye weight mtu wa CW anafanya dissertation (siyo thesis). na Dissertation ni partial fullfilment wakati Thesis ni fulfilment