M mpambe Senior Member Joined May 16, 2013 Posts 133 Reaction score 41 Oct 26, 2016 #1 Habari za jioni wanajf. Naulizia kama kuna mtu amesoma masters ya chuo cha JomoKenyata tawi la Tanzania..anipe experience yake, wako vizuri? Kwa maana ya ufundishaji na facilities nyingine.
Habari za jioni wanajf. Naulizia kama kuna mtu amesoma masters ya chuo cha JomoKenyata tawi la Tanzania..anipe experience yake, wako vizuri? Kwa maana ya ufundishaji na facilities nyingine.
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 724 Oct 26, 2016 #2 huu Uzi watu hawauoni