Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za juu uganda na kinavigezo vyote hata nje ya uganda kinakubalika kwani standard yetu inakubalika EAC na Africa, tunawanafunzi wengi kutoka nje ya Uganda.
Tunaoffers master za IT na Management through distance learning kutumia:-
elearning system
Intranet
E-library
Tembelea tovuti yetu na unaweza kuwasiliana nasi kupitia email yetu na online chart.