MASTERS IN COMPUTING - UGANDA TECHNOLOGY AND MANAGAMENT UNIVERSITY

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za juu uganda na kinavigezo vyote hata nje ya uganda kinakubalika kwani standard yetu inakubalika EAC na Africa, tunawanafunzi wengi kutoka nje ya Uganda.

Tunaoffers master za IT na Management through distance learning kutumia:-
elearning system
Intranet
E-library

Tembelea tovuti yetu na unaweza kuwasiliana nasi kupitia email yetu na online chart.

Masters Degree Programmes

For open Mind. Karibu sana.
 


Wanasema mna figisu nyingi sana ktk hili la kutoa elimu kwa mtandao, hasa ktk kufuatilia wanafunzi na usumbufu wa ongezeko la gharama za hapa na pale pindi mtu akilipia admission mwaka wa kwanza. JIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…