Naomba kufahamu,kuhusiana na master's degree Udsm...
1. Dirisha limefungwa tayari?
2. Utofauti wa "master's degree in mathematics" na master's degree in mathematical modelling" .
3. Je kuna kozi za mathematics zingine tofauti na hizi mbili??
Acha kupoteza muda wa kusoma masterz ya Mathematics. Badala yake nenda hapo nyuma ya UD kuna chuo cha East Africa Statistical training center ukasome masters ya Statistics. Itakutoa fasta kuliko hiyo ya modeling.

Hilo linafahamika,ninachozungumzia mimi ni jinsi unavyoweza kuitumia field ya statistics kama Mfamasia,Dentist,Electrical engineer kuzalisha bidhaa au huduma kulingana na field uliosomea hata akisimama yeye kama yeye bila kuwa chini ya taasisi fulani iliyomuajiri.