Information security iko kwenye soko sana, lakini kwa ushauri wangu aachane na swala la kwenda kusoma Masters ya hiyo kitu kama anahitaji ushindani wa soko la ajira.
Afanye Professional Certification za Computer security kama CEH, CompTIA Security+, CISA, ISACA.