Hivi watu mkoje? Sasa Mara mwalimu Wa elimu maalumu , Mara n ya dada, Mara simu feki, jamani acheni kubeza biashara za wenzenu, nimeletaa uu Uzi apa kununuzwa , wangeleta Voda au tigo wote mngekuwa kimya , yani nyie nawaona kama wasauth Africa wanavyowaua wenzao weusi , tupendanage na kuthaminiana , kama hutaki pita
Lipia tangazo pia kama wewe ni mfanyabiashara kweli
Nitumie h 6 na namba ya huyo dada muuzaji
Hivi watu mkoje? Sasa Mara mwalimu Wa elimu maalumu , Mara n ya dada, Mara simu feki, jamani acheni kubeza biashara za wenzenu, nimeletaa uu Uzi apa kununuzwa , wangeleta Voda au tigo wote mngekuwa kimya , yani nyie nawaona kama wasauth Africa wanavyowaua wenzao weusi , tupendanage na kuthaminiana , kama hutaki pita
Simu zote ulizotaja feki
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona mengi
Daah ahsante sana ndugu, inasikitisha sana , mi natafuta maziwa ya mwanangu , wao wanaleta utani , OK ndugu unayenifahamu , nilikuwa ndio mwalimu , nilimaliza Sebastian kolowa university collage , sikuajiriwa baada ya kumaliza , niliamua kujiajiri paseeee, hay a mpaka apo ushahakikisha ni mimi ninunuze au fikisha ujumbe huu kwa ndugu jamaa na marafiki
Samsung Galax j1 250000 tuu hii inaweza kupiga picha yenyewe , mkishajipanga unainyooshia mkono inapiga picha yenyewe