unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
| Jamaa kasema nini kwani? | Kuna pumba katema? |
Piglet, leave Kipanya alone.Mtaasisi Mr Denis Diderot aliandika mahali "All things must be examined, debated, investigated without exception and without regard for anyone's feelings."
Katika upweke huu wa joto la Corona huku nchi za watu, unajikuta unapenda kusikia habari za nyumbani. Nami nimejikuta nasikiliza redio Clouds FM.
Masoud Kipanya anajitambulisha bila kujua kama mpinzani na siyo mwanahabari. Hana hoja zaidi ya kutafuta cheap popularity. Mwandishi anapaswa kuchambua kushoto na kulia chini na juu.
Badilika na anza kuwa mwanahabari huru. Sina hata Shida na mwanahabari anayehoji mambo ya msingi. Changamoto ipo pale unapokuwa biased. Vaa uhusika and then after kipindi rudi kwenye itikadi yako binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona wewe ndiyo umeandika utopolo kabisa.. [emoji23]Mtaasisi Mr Denis Diderot aliandika mahali "All things must be examined, debated, investigated without exception and without regard for anyone's feelings."
Katika upweke huu wa joto la Corona huku nchi za watu, unajikuta unapenda kusikia habari za nyumbani. Nami nimejikuta nasikiliza redio Clouds FM.
Masoud Kipanya anajitambulisha bila kujua kama mpinzani na siyo mwanahabari. Hana hoja zaidi ya kutafuta cheap popularity. Mwandishi anapaswa kuchambua kushoto na kulia chini na juu.
Badilika na anza kuwa mwanahabari huru. Sina hata Shida na mwanahabari anayehoji mambo ya msingi. Changamoto ipo pale unapokuwa biased. Vaa uhusika and then after kipindi rudi kwenye itikadi yako binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema nini kwani?
Basi ni kada wa ccm, umeshindaMtaasisi Mr Denis Diderot aliandika mahali "All things must be examined, debated, investigated without exception and without regard for anyone's feelings."
Katika upweke huu wa joto la Corona huku nchi za watu, unajikuta unapenda kusikia habari za nyumbani. Nami nimejikuta nasikiliza redio Clouds FM.
Masoud Kipanya anajitambulisha bila kujua kama mpinzani na siyo mwanahabari. Hana hoja zaidi ya kutafuta cheap popularity. Mwandishi anapaswa kuchambua kushoto na kulia chini na juu.
Badilika na anza kuwa mwanahabari huru. Sina hata Shida na mwanahabari anayehoji mambo ya msingi. Changamoto ipo pale unapokuwa biased. Vaa uhusika and then after kipindi rudi kwenye itikadi yako binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa....... Naona mtoto wa Kipanya kavaa shati la Chadema!
Ukimuona mtu Kama huyo ujue kuwa tumebaki na akina Nyerere, kwa sasa watu Kama masoud kipanya wamebaki wachache sana hapa Tanzania tunatakiwa tuwaleee Kama yaiMtaasisi Mr Denis Diderot aliandika mahali "All things must be examined, debated, investigated without exception and without regard for anyone's feelings."