Habari wana JF.
Nina Kijana wangu amemaliza Form Four Mwaka huu na kupata Div. 2. Anataka kusoma PCB.
lakini Physics amepata D ,na masomo ya Kemia na Biolojia amepata C na B.
Naomba wenye uelewa anisaidie kama anaweza kwenda Form FIVE kwa hiyo combination?
Ahsante.Bwojo