Masomo ya Phd katika Economics

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
4,268
Reaction score
5,815
Habari wanajamvi wote!

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyotanabahisha, kuna kaka yangu mmoja anakusudia kuendelea na masomo yake kwa ngazi ya PhD katika mambo ya uchumi (economics). Hivyo kwa mtu yoyote mwenye kufahamu vyuo vizuri na vyenye gharama kiasi cha kumdu kujilipia, basi anaombwa asaidie kuorodhesha vyuo hivyo hasa kwa nchi za CANADA na SOUTH AFRICA
 
Kuuliza ni sawa na wanaojua watashauri lakini nafikiri kwa level ya PhD na nchi anazoulizia itabidi mhusika achakarike zaidi kupata hiyo information mwenyewe kwani vyuo vya hao wenzetu website zao zimejaa information pamoja na malist ya vyuo mahiri kwene nyanja tofauti. Tumtakie heri na fanaka.
 
What about Harvard University? Hivi vyuo bora vitano duniani ni vipi jamani?
 
hiyo inaitwa elimu ya mseleleko aise duuuu
 
Jarib kupitia website ya London School of Economics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…