Ni hivi mie pia sijui habar za masoko lakin kwa mfano hapa nachingwea wanalima ufuta wachina wanasafir kabisa kuja hapahapa wanakuwepo kwenye maghala ya mazao wanakuwa wananunua ufuta wa wakulima pia mbaazi nazo ni vile vile walikuja wakenya wakanunua mbaazi kwa bei nzuri sana ndo hivyo mdau so sehemu panakopatikana sana mazao ndo masoko huwa ya kwel sanaaaaa