maskini OBAMA...hii kashfa inaweza mwangusha kabisaaaaaaaaa

well said all.., lakini kwa mawazo yangu mimi, siku zote vyama hivi viwili sambamba na wagombea wao yaani, Republican ( Mr.Romney) na Democratic ( Rais Obama), havishindani sana katika siasa za Nje ( foreign policy)., ndio watajalibu kuongelea lakini kubwa zaidi ni sera za siasa za ndani za Marekani ambazo zinawagusa wamarekani wengi katika Mustakabali wa Maisha yao ya kila siku.
Na kwa Maana hiyo.., sera ya nje ya Marekani haibadiliki au haishindaniwi sana...., Kwani utakumbika vizuri Sera ya siasa ya nje ya marekani hasa kuhusu ulinzi kipindi cha Rais Bush ( jr ) dhidi ya UGAIDI, iliendelezwa/ inaendelezwa na Rais Obama.,Mfano.kuusambalatisha mtandao wa Al-Qeida kwa kupatikana kwa OSAMA.

Saluuuuuuuuute.!!
 
aipac will decide who can fit them and no bodyelse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…